Pia ukiachana na hao kulikuwa na miili ikiwa imezagaa chini mchangani, ilikuwa ni miili ya wanywa damu si chini ya mia na ilionekana walitumia nguvu sana kuwashughulikia
Wale binadamu watatu na wakina, Caren waliweza kuhisi ongezeko la watu wawili na walipoangalia kupitia lango la kuingilia waliweza kumuona Jimmy na Ben
Kati ya wale watatu mmoja alibeba chungu cheusi cha wastani chenye michoro ya ajabu rangi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments