Reader Settings

Mara baada ya kufunikwa na mwanga ule wa mapigo, Sally alihisi mwili wake kama umekufa ganzi, lakini alishtuka mapema. Alisongea kwa spidi kwenye ardhi hiyo huku akikwepa mashambulizi ya mwanga wa kitakatifu yaliyokuwa yakimdondokea kila mahali.

Mashambulizi hayo ya Mikaeli yalikuwa kama mwanga wa radi, yanaweza kuonekana kama mwanga wa kawaida tu, ila yakigusana na mwili wa mtu, maumivu yake hayakuwa ya kawaida hata kidogo.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next