Reader Settings

“Lucifer kufa!!”Mikaeli alishuka kutoka juu angani, spidi yake katika awamu hiyo ilikuwa mara tatu zaidi ya ile ya mwanzo.

“Holy Sword!!”

Palepale, Mikaeli alikusanya nishati kati ya silaha yake na nguvu ya upako, na kufanya presha ya shambulizi lake kuwa kubwa zaidi kuliko mwanzo.

Hamza alikuwa amesimama sehemu moja tu, moyo wake ukiwaka moto wa kivita. Mara moja alifanya mawasiliano ya kimawazo na pete iliyokuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next