Ukweli ni kwamba, watu wa Jicho la Anga walikuwa washajua tokea mwanzo kwamba hata kama Silvia na Mikaeli wakiungana, hawataweza kumshinda Hamza. Hivyo, wakaamua kufikiria mbinu za kutengeneza virusi vya kigenetiki na kumtumia Silvia kuvisambaza.
Ieleweke kwamba, licha ya Binamu kutotuma watu kuja kushiriki kwenye operesheni hiyo, bado walikuwa wakitoa msaada mkubwa kiasi kwamba ni kama wameshiriki moja kwa moja.
Hamza, muda ule, alielewa. Mathias …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments