Reader Settings

Ndani ya kisiwa cha Toharani, mara baada ya kila kitu kurudi katika hali yake ya kawaida,
wanawake na watoto waliokuwa wamejificha kwenye mahandaki, pamoja na wakaazi wa wanaume ambao hawakuwa na uwezo wowote wa mapigano, walianza kutoka mmoja baada ya mwingine.
Walianza kusafisha eneo hilo, kuondoa mawe yaliyoporomoka, kuziba mashimo, pamoja na kuondoa miili ya watu waliokufa na kurekebisha mazingira ya sehemu walizokuwa wakiishi.

Hakuna aliyekuwa na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next