Ilikuwa ni ukungu wa baridi uliokuwa ukifuka kutoka kwenye matundu ya mlango.
Irene alikuwa akijua fika kuwa ufunuo wa Regina katika mafunzo ya nishati ni kutengeneza barafu, hivyo mara moja aliamini Regina atakuwa anafanya mafunzo. Hata hivyo, ilikuwa mara yake ya kwanza kuona jambo hilo, ndiyo maana alishangaa mno. Athari za mafunzo ya Regina zilikuwa kubwa kiasi kwamba hata kitasa cha mlango kilikuwa cha baridi kiasi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments