Reader Settings

Mara baada ya kupita kwenye soko, wanawake wengi, baada ya kumuona Sally, walionekana kumuonyeshea heshima. Upande wa watoto, baadhi yao walimwangalia Regina na wenzake kwa shauku kubwa, ni kama walikuwa wakijiuliza uhusiano wa watu hao na Hamza ulikuwa upi.

“Nimesikia kulikuwa na uharibifu mkubwa hapa kisiwani. Kwanini ni kama hakuna kilichoharibika?” aliuliza Afande Himidu.

“Tuna ushirika na gwiji mkubwa hapa kisiwani. Kwa uwezo wake, ndio …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next