Watu wote walikuwa wamesubiri kwa zaidi ya dakika kumi. Mara baada ya kumuona Regina akirudi akiwa ametangulizana na Hamza, wakiwa wameshikana mikono, walijikuta wakimwangalia Sally kwa hisia zisizoeleweka.
Upande wa Sally, mwonekano wake haukubadilika. Badala yake, alisimama kwa heshima, akimsubiria Hamza aketi kwenye nafasi yake.
“Sally, haina haja ya kuwa hivyo. Wewe toa tu maagizo. Hebu angalia, wenzako wote wamekaa, ni wewe tu ndiye umesimama,” …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments