Usiku huo haukuwa mzuri kabisa kwa Hamza. Alijihisi kama mtoto ambae alikuwa akicheza na ndege zilizokuwa zikipita juu angani moja baada ya nyingine, kwa ufupi ulikuwa ni usiku wa mateso kwake.
Jambo moja tu ambalo lilimfurahisha Hamza ni kwamba, angalau uhusiano wake na Regina ulikuwa umepiga hatua kubwa. Ingawa hatua ya mwisho bado , lakini mpaka kufikia hapo alishakubaliwa kwa kila kitu, iwe ni kihisia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments