Reader Settings

Dakika chache mbele, ndege binafsi iliweza kutua ndani ya uwanja wa Mwalimu Nyerere. Na kundi la vijana waliokuwa hawana hata mzigo walishuka na kuongozwa kupitia njia ya express.

Kulikuwa na maagizo ya kiserikali, hivyo hawakufanyiwa ukaguzi wa aina nyingine. Ndiyo maana walipitishwa kupitia mlango wa moja kwa moja na kwenda kupumzika eneo la VIP.

Mara baada ya kundi hilo la watu kuingia eneo la VIP, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next