Reader Settings

Kilichomfanya Hamza kuona kuna kitu ambacho hakipo sawa ni kwamba ile simu ya tukio la ufunguzi wa Albamu alimshuhudia Saidi akimfukuza Salma waziwazi na kumwambia wamemalizana , sasa alijiuliza imekuwaje tena wakataka kufunga ndoa mwezi ujao.

“Inamaana Salma na Saidi wamerudiana mpaka kufikia maamuzi ya kufunga ndoa?”Aliuliza Hamza.

“Ni kawaida kwa wapenzi kugombana na kupatana , usije ukasema Saidi ndio amehusika katika hili , Saidi …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next