Reader Settings

Mtu huyo hakuwa mwingine bali alikuwa ni Afande Simba, mkuu wa majeshi kivuli, aliyejulikana kwa cheo cha Simba. Afande Simba aliishia kumwangalia Hamza kwa sekunde kadhaa, kisha akaachia tabasamu.

“Nimesikia umekubali kuisaidia familia ya Wanyika kuwafundisha vijana wao, lakini sikutegemea kama utakuja mwenyewe kushiriki. Vipi? Naona umekuwa maarufu kwa siku hizi kadhaa. Nilikuwa nimeenda kijijini kwetu kusalimia, lakini nimesikia umekichafua huko duniani.”

Yulia na vijana …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next