Ikumbukwe pia , Yulia na Herbert walikuwa ni wachumba, uliotengenezwa na familia hizo mbili.
Lakini kwa Yulia hakuwa na hisia zozote wala hajawahi kumpenda Herbert kwa lolote, isitoshe mtu kama Yulia anaanzaje kupenda?.
“Kanali Yulia! Kijana wangu hayupo tena na sisi hapa duniani , kuna haja ya kuendelea kumuumiza mpaka huko alipo?”Aliongea Mzee Alfred.
“Sina jinsi, lakini mpenzi wangu anadhaniwa vibaya na wengine na kuonekana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments