Reader Settings

“Hivyo kimsingi, watu wote wa ukoo wetu wana damu ya kiphoenix, lakini katika miaka mia ni baba yangu na Sulekha walioweza kuiamsha.
Kuhusu mimi, ingawa ni baba mzazi, bado sijaweza kabisa kuamsha damu yangu… ni kwa kiasi fulani naweza kuitumia kwa kutegemea zaidi mafunzo ya nishati za mbingu na ardhi.
Lakini damu halisi na uwezo wa kuweza kuingia kwenye moto na kuzaliwa upya — hiyo sina,” aliongea.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next