Herman mara baada ya kuambiwa mpango wenyewe, macho yake yalichanua huku kwa wakati mmoja akionyesha tabasamu la uovu.
“Mjomba, huu ni mpango mzuri sana! Kwa Hamza alivyo, hawezi kabisa kuvumilia hili, na muda huo ndipo tutajua ni nini atafanya.”
“Safi! Hili limeisha sasa. Mimi nitaondoka kuandaa kila kitu,” aliongea Mjema.
“Asante sana mjomba! Mimi naelekea kuonana na baba kwanza, maana nimesikia katuma mtu kuja kunitafuta.”
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments