Chinga, mara baada ya kuulizwa swali hilo, alijikuta akihisi hofu na kukataa haraka haraka.
“Hapana... sirudii tena,” aliongea.
“Kama ni hivyo, vipi tena?” aliuliza Hamza akiwa na tabasamu.
“Nataka kujiunga na timu yenu kwa muda ili kutengeneza ushirikiano,” aliongea huku akiwa na hali ya tahadhari. Pia alimwangalia Hamza kwa makini kuona kama kuna mabadiliko.
Hamza aliangalia upande wa getini na aliweza kuona timu ya kambi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments