Reader Settings

Hamza hata yeye hakuweza kuelewa imekuwaje mtu wa kawaida kama Saidi kufanikisha kutengeneza sura feki , hakuelewa kwasababu hakuwa na ujuzi wowote katika swala zima la teknolojia za kihandisi za mwili wa binadamu.

Hamza alijiambia mtu ambaea angeweza kujua ambacho amefanikisha Saidi pengine ni Dokta Genesha peke yake lakini kwa bahati mbaya alikuwa amekwisha kufariki.

“Umemfanya nini Prisila , umemwachia huru?”Aliuliza Hamza akipotezea viungo vya …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next