Reader Settings

Majitu matatu pia hayakubaki nyuma, kila mmoja alionekana kutoa hoja zake kwa nguvu za ajabu. Vilio vyao vilikuwa kama sauti za giza, na kila pigo lililoachwa angani lilionekana kama dokezo la kifo.

Yote kwa yote Jimmy bado alibaki imara akisoma kila harakati zao, akijibu hoja kwa hoja, akigeuza kila shambulizi kuwa jibu. Halikuwa tu pambano la ana kwa ana ulikuwa pia kama mjadala wa maisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next