Wakati hadhira ikicheka kutokana na kuona utofauti mkubwa uliokuwepo kati ya Chinga na Haji, upande wa mzee Alfred wa familia ya Kijazi alikuwa na furaha isiyoelezeka, huku akimwangalia Hamza kwa kejeli.
Hamza, upande wake, hakujali sana macho ya watu na aliishia kurudi kwenye siti yake.
Mara baada ya kuona Hamza amerudi, haraka haraka Yulia alimshika mkono.
“Umemwambia nini mpaka ukambadilisha kiasi kile?”
“Hamna, nimemwahidi kumpatia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments