Reader Settings

Mara baada ya Hamza kuondoka, muda ule Afande Simba alionekana kuvuta pumzi nyingi na kuzishusha kwa wakati mmoja huku akiangalia upande aliotokomea Hamza.

“Huyu mtoto yupo macho kweli, sema angalau kaonyesha uvumilivu katika hili. Wasiwasi wangu atatumia uwezo wake wote kuipa nguvu familia ya Wanyika,” aliongea Afande Simba.

“Simba, nishakwambia acha kuogopa hao wanajeshi wa nje ya nchi. Hawana lolote ukilinganisha na nguvu zilizojificha ndani …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next