Reader Settings

Makombora yote matatu kila moja lilikwenda kuwalipukia wale majitu watatu na kuishia kutoa ngurumo za maumivu iliyochanganyika na hasira lakini wangefanyaje? Wanajeshi wale hawakuwaachia hata nafasi ya kupumua walishambuliwa mfululizo na rocketi za mabomu, mabomu ya pini na kufyatuliwa bastola kana kwamba wapo vitani

"Tu tu tu tu tu tu!... Boom!.... Tu, tu, tu, tu... Boom! Boom!" zilikuwa ni sauti za risasi kufyatuliwa na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next