Saidi hakuwa na uwezo wa kufanya chochote kwa Prisila ambae alionyesha mabadiliko ya ajabu mno, swala ambalo hakuwah kufikiria kwenye maisha yake Prisila angekuwa na uwezo wa aina hio.
Aliishia kumwangalia mpaka anamaliza kujifungua kamba alizomfunga kwa namna rahisi sana na hakuweza kumzuia kwani kumsogelea ilimaanisha kuungua.
Harufu ya kuungua kwa mpira ndio iliogubika eneo hilo na kumfanya Saidi aone anachoangalia ni uhalisia na sio …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments