Eliza alitoa kikaratasi kilichokuwa kimeambatanishwa na zile hela na kisha akakisoma na aliishia kukunja tu sura.
“Naomba uchukue umrudishie vitu vyake sina shida navyo “Aliongea Eliza kwa hasira na mhudumu yule haraka haraka alichukua kila kitu na kurudi kwa aliemtuma.
“Lizzy umekataa kwasababu hazitoshi nini?”Aliuliza Hamza huku akiweka muonekano wa matani kwenye uso wake .
“Unaongea nini na wewe , kanionaje mpaka kuniletea hela ili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments