FOR YOU 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
★★★★★★★★★★★★★★★★
Wawili hawa waliangaliana sana kwa umbali huo, huku mara kwa mara magari yaliyopita barabarani yakiwazibia utizami huu, lakini bado wakaendelea tu kuangaliana. Nora alihisi faraja kubwa sana moyoni mwake baada ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments