Afande Simba na Afande Musiba haraka walimwangalia Afande Mjema mara baada ya kuhisi kuna kitu kinachoendelea kuhusiana na tukio hilo.
Upande wa Mzee Karume na wenzake, walikuwa kimya tu, na nyuso zao zilionekana kama vile walitaka kuangalia show hiyo inavyoenda kuisha.
Chini ya steji, Hamza alikuwa akifikiria. Hakuwa amewahi kumuona Afande Mjema wala kumsikia. Hata hivyo, alivyomchunguza tu bwana huyo, uwezo wake si wa mchezo mchezo.
Hata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments