Familia ya Mzee Mpoki kutoka Bagamoyo ni moja ya familia ambazo zinasifika sana kwa uvuvi kwa muda wa zaidi ya miaka therathini.
Mpoki ambae ndio baba wa familia yote ni kama alikuwa akitaka wanafamilia wake wote wajue maana halisi ya uvuvi licha ya kwamba watoto wake walikuwa waajiriwa na wenye biashara za kuwakidhi kimaisha.
Kila ifikiapo mwanzoni mwa mwezi wa kumi huchukua familia yake yote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments