“Nimetuma timu ya wataalamu wetu, na wamethibitisha ushahidi wa video uliotoa ni feki. Hata hivyo, kwa sababu kwenye hili suala hauhusiki, tutakuacha awamu hii na hatutakufanya chochote kwa kudanganya jeshi. Hivyo, kuanzia sasa kila kitu kilichobakia tutadili nacho sisi wenyewe kama kitengo, na huna haki ya kuhoji maamuzi yetu,” aliongea Afande Musiba.
“Kuhusu hilo, itategemea kama haki itatendeka kulingana na sheria au mtafanya upendeleo.”
“Usiwe …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments