Mzee Robi Mhinde alianza kumpa shule Hamza na kumwambia kuwa kabila lao limegawanyika katika familia nyingi sana, ambazo zimesambaa nchi nzima na kuna hata nyingine hazitambuliki kwa majina ya ukoo wa Mhinde.
“Kijiji ninachozungumzia kinapatikana mkoani Mbeya, wilaya ya Tukuyu...” alielezea Hamza.
“Ah! Hapo nimekupata sasa, ni moja ya vijiji vikubwa pale. Kwa hiyo unasema mke wako ni wa kule?”
“Hapana, mke wangu sio wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments