Reader Settings

Hamza, mara baada ya kusoma barua ile, aliishia kutoa tabasamu la uovu huku akimwangalia Afande Simba.

“Nadhani sasa hivi umeshajua upo ndani ya janga la namna gani. Kama mtu huyu kaweza kuingia mpaka chumbani kwako na kukuandikia masharti, bado tu unaona ni kawaida?” aliongea.

Afande Simba pia alikuwa na hasira, lakini muda huo alipaswa kupima faida na hasara.

Alijua kama atawasaidia Binamu, ingekuwa sawa na …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next