Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Utu wema ni asili

Profesa Meshack , alijikuta akiishia kuacha mdomo wake wazi , ashindwe kuongea neno lolote . paji la uso wake lilitoa chemchem ya jasho huku macho yake yakicheza cheza kutokana na hofu ya maneno ya Regina.

Regina aliishia kumwangalia kwa sekunde kadhaa na kisha alishusha pumzi na kuongea kwa utulivu.

“Sasa nimemaliza kuongea. Bilioni tatu ndio bei yangu ya mwisho …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next