Reader Settings

Hamza alimwangalia Amiri ili kuweza kusikia jibu ake, alitaka kujua kwanza ni ushahidi gani ambao unazungumziwa na kisha ndio aanze kutafakari ni mtu gani ambae alimwambia hayo yote na kwa ajenda ipi.

“Hakunipa maelezo ya kutosha , ila kitu alichoniambia ni juu ya Mellisa kuwa mteja wa vyungu kutoka kwa kampuni ya Elix na hapo ndio palipo nichanganya, nilimuuliza kununua vyungu kuna husiana vipi na …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next