Reader Settings

Dakika mbili baadaye, damu ya Hamza ilikuwa ikichemka. Alijihisi kuwa na spidi kubwa zaidi, na ya kikatili zaidi, pasipo kuharibu pambano hilo la staili ya ngumi.
Hivyo, misuli yake iliendelea kutuna huku akiongeza kasi ya mashambulizi.

Afande Musiba alijikuta akishangaa, maana hakuwa ametegemea kama Hamza angeweza kuwa na spidi kubwa kiasi hicho. Ni muda huohuo aliweza kutengeneza gepu na kumpatia Hamza nafasi.

“Bam!!”

Ngumi ya Hamza …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next