Reader Settings

Ilikuwa ni usiku wa saa nne kwenda tano hivi ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Katika mtaa tulivu waishio matajiri, Regina alikuwa ameshaoga na kuvaa gauni lake la halili la kulalia kwa ajili ya kupumzika. Usoni pia alikuwa amevaa mask fulani ya kulainisha ngozi yake. Ingawa kwa uzuri wake ni vitu ambavyo hakuhitaji sana, lakini saikolojia ya wanawake ilimfanya kuwa hivyo.

Muda ule alipotaka kuzima …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next