FOR YOU 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Jenerali Jacob na Luteni Jenerali Weisiko walikuwa wameshafika sehemu ambayo Jenerali alifanya miadi ya kuletewa ndege ambayo ingempeleka nchini Madagascar (kwa wengine ni kisiwa), alikokuwa amepanga kutorokea. Eneo hilo lilikuwa ni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments