Bianca alikuwa ni mwanamke mpole na mstaarabu sana lakini ukimkera ni rahisi sana kukasirika, alikuwa ni aina ya wale wanawake wenye hasira za karibu, kadri anavyoonekana kuwa mpole ndivyo anakuwa mwingi wa hasira. Ogopa sana mtu mpole ukadhani labda ni mnyonge, watu wa aina hiyo huwaga ni ndivyo sivyo, unamdhania hivi kumbe ni kinyume chake!
Pia sebuleni humo kulikuwa na ndugu zake wanne pamoja na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments