Reader Settings

Haikueleweka ni muda gani mtu huyo alipanda na kwenda kusimama juu ya jengo hilo. Ni yule mzee pekee, ambaye alikuwa na umri wa miaka 170, aliyeweza kugundua uwepo wake.

Mathias Huge na wazee wengine pia walionekana kushangazwa na jambo hilo, maana hata wao hawakugundua chochote.

Ni muda huo huo ambapo wingu la giza lililokuwa juu angani lilianza kujitawanya, na palepale mwanga wa kipande cha mwezi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next