Reader Settings

Jagani hakuamini Hamza alikuwa akijua lugha hio na aliishia kumeza mate mengi huku akijibu.

“Ni andiko lililoachwa miaka mingi na mababu zetu , niliiba kwenye maktaba ya siri ya India”Aliongea yule bwana kwa hofu akijua kabisa kama Hamza ni mtu wa kitengo basi hana haja ya kuficha kwani zipo mbinu nyingi za kufanywa aongee.

Ukweli ni kwamba dunia nzima kulikuwa na ushirikiano wa kijeshi katika …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next