Regina aliangalia mikono yake kwa kuishangaa, ingawa hakuwa akihisi chochote. Hata ardhi ikiwa katika hali ya ubarafu, yeye hakuhisi ubaridi wowote.
Upande mwingine, watu wa kisiwa hicho walimwangalia Regina kwa heshima kubwa na hofu kwa wakati mmoja.
“Mnaendelea kusubiri nini hapo? Mlindeni mtawala,” aliongea Mzee Mfuwe. Hata hivyo, muda huo macho yake yalikuwa yamejaa furaha kubwa. Alikuwa sasa na uhakika Regina ndiye ambaye amechaguliwa kufufua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments