Mwanamke yule aliweza kushuhudia kuna kundi la watu waliokuwa wakimsubiri ndani, nje ya matarajio yake.
Ndani ya eneo hilo, aliweza kumtambua mara moja mwanaume mwenye nywele za kizungu zilizojaa mvi, ambaye alikuwa amevalia track suit nyeupe, wakinywa chai pamoja na waliokuwa wageni.
“Ndio umefika…” yule mwanaume alitoa tabasamu lililojaa uchungu, na kisha palepale alianza kutoa utambulisho.
“Huyu mtu hapa ni Kamanda wa kitengo cha Sleeping …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments