Sehemu ya pili
Ayubu hakuweza kulala usiku ule. Alilala kitandani mwake kwenye chumba kidogo cha kupanga pale Magomeni, akitazama dari lililokuwa na nyufa ndogo ndogo. Kila sekunde, kichwa chake kilikuwa na maswali yasiyo na majibu. "Chanzo ni wewe." Maneno hayo yalizidi kumzunguka akilini kama mzinga wa nyuki usiotulia.
Kwa nini walikuwa wakimfuata? Hawa vijana walikuwa kina nani? Na kwa nini yeye, mtu asiyejua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments