Reader Settings

STORY: GEREZA LA HAZWA

STORY WRITER: FEBIANI BABUYA

WHATSAPP: 0621567672

UKURASA WA KUMI NA MBILI

“Akiwa ndani ya Kuala Lumpur Malaysia alikuwa ni mwanafunzi mwenye akili za kutisha kupita kiasi hivyo hakusoma kama wenzake ambao huwa wanasoma kwa muda mrefu sana alirushwa rushwa sana madarasa ndiyo sababu huwa inashangaza mtoto mdogo kama yule tayari ni Doctor of Philosopy (PhD) kwa wataalamu …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next