Reader Settings

WHATSAPP: 0621567672

UKURASA WA KUMI NA NNE

Kitendo cha kufumba na kufumbua macho mbele yao hakukuwa na mtu yeyote yule zaidi ya mshale mmoja ambao ulienda kukita kwenye mti hata mwanamke huyo ambaye alikuwa na bisu kubwa kwenye mkono wake akiwa anaenda kumshambuliza Aariz kwa spidi kali aliishia kuchoma ardhini tu hakuambulia chochote kile, hiyo hali iliwashtua wote watatu walibaki wanaangaliana bila kupata majibu sahihi …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next