UKURASA WA KUMI NA TANO
Baada ya kuingia ndani ya yale malango ya siri ambayo yalikuwa yanafunguliwa na watu maalumu ile sehemu ilijifunga tena hakushtuka ni kama alitarajia hicho kitu alitembea kwa hatua thelathini kukawa na ukimya ulio mpa shaka hiyo sehemu haikusikika hata sauti ya ndege akipiga kelele inamaanisha hata mjongeo mdogo tu wa kitu ilikuwa ni rahisi sana kuusikia, alipiga mluzi kama alivyokuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments