Mwanaume aliingia taratibu mle ndani hakuwa na wasi wasi sana hatua zake zilionyesha alikuwa anajiamini kwa kile ambacho alikuwa anakifanya, kulikuwa na walinzi watatu ambao walikuwa wanacheza kamali kusogeza masaa mbele wawili walidondoka chini kwa visu vikali ambavyo vilipita kwenye sehemu zao za vifua aliyebaki alijitahidi kuangalia huku na huku ili aweze kujua sababu alishtuka wakati shingo yake inazungushwa ilivunjwa bila utaratibu maalumu, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments