Reader Settings

Wanawake wote mle ndani walikuwa wameamka tayari walibaki wanamshangaa sana Aariz kauli zake hawakuwa wakiziamini kabisa Kwa namna alivyokuwa ametapakaa damu ikabidi awasimulie kidogo namna alivyo fanikiwa kuingia ndani ya kambi hiyo mpaka muda huo ambao alikuwa mbele yao hapo, baadae walimuelewa vizuri tu hiyo ilimrahisishia kazi yake alianza kusaidiana na yule mwanamke ambaye alikuwa kiongozi kuwatoa wanawake hao humo ndani aliwaacha wakawa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next