Reader Settings

“Ah!”
Eliza alijikuta akishtuka mara baada ya kumwagikiwa na maji ya ubaridi. Alijiangalia jinsi alivyoloa, kisha akamwangalia Hamza.

“Darling! Unafanya nini? Kuwa makini.”

“Babe, samahani, nadhani nimetumia nguvu kubwa kuishika. Wewe mwenyewe si unajua nguvu zangu zilivyo? Muda mwingine nashindwa kuzidhibiti,” aliongea Hamza huku akitoa tabasamu la kuigiza.

“Miss, nikuletee taulo?” aliuliza yule mhudumu kwa Kiingereza.

“Acha tu, taulo haliwezi kunisaidia,” aliongea Eliza huku akisimama kivivu.“Nitaenda …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next