MIMI NA MIMI 3
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA SABA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Nilihisi uchovu mwingi baada ya kumaliza kumpa Bertha huduma aliyohitaji kitandani. Kama ilivyokuwa kawaida, ni yeye ndiye aliyeongoza mchezo, akinitawala tu na mimi kujiachia kwake mpaka aliporidhika na kutulia juu ya kifua changu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments