Hamza alijikuta akishangaa kwa sekunde kadhaa. Mwanzoni alidhania kuja hapo nchini ingekuwa ngumu kukutana na viongozi wa serikali, lakini ilikuwa ni mtu wa Wizara ya Ulinzi aliyekuja kabisa?
“Hubby, twende tukaonane nao?” aliongea Eliza huku akisimama.
Hamza aliishia kutingisha kichwa kukubali, na kisha alijiweka sawa na kutoka.
Waliongozwa na Meneja Mchome mpaka kwenye chumba ndani ya hoteli hiyo kilichokuwa na ulinzi wa hali ya juu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments