Reader Settings

Eliza mambo hayo aliyasikia ama kuyaona kupitia vipindi vya filamu ama kusoma kwa njia za vitabu, lakini hakuwahi kuthibitisha ukweli wake na kuona ni ngano. Hivyo, kusikia kauli hiyo ambayo si ngeni kwake, alijikuta akishtuka. Hata hivyo, alijikuta akifunga mdomo wake kwa kuona namna watu hao walivyo siriasi.

Hamza hata yeye alikuwa katika hali ya mshituko. Alishawahi kusikia kuhusu habari za Mbweha wa mikia tisa. …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next