Nawachukia sana wanawake

Linda pia alikuwa akishangaa , maana ni kama hakuwa amemtegemea Hamza kufika katika eneo hilo.

“Hamza! Umejuaje tupo hapa?”Linda aliuliza na Hamza aliishia kuinua mkono wake pekee kusalimia na kutabasamu kwa wakati mmoja.

“Subiri kwanza”aliongea Hamza huku akiinua kifaa alichokuwa ameshikilia mkononi na alionekana kubonyeza bonyeza na palepale kilianza kutoa mlio kama mashine ya kunyolea.

“Nimekipata , ni …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next